Revelation of John 21:1

Mbingu Mpya Na Nchi Mpya

1 aKisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya, kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza vimekwisha kupita, wala hapakuwepo na bahari tena.
Copyright information for SwhKC